Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa tabata kinyerezi kibaga zabika, Dar Es Salaam


Huduma na Sifa
Maelezo
Chumba master, sebule na jiko inapangishwa bei 200000 kwa mwezi kodi kianzia miezi 6, umeme na maji unajitegemea, parking, bubwa, reserve water tank, Location tabata kinyerezi kibaga zabika dar es salaam
Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service survey charge tsh 20000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii















