Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Msongola, Kitonga, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 15,000,000

Maelezo

CHUMBA KIMOJA, SEBULE NA FREMU 1,TSHS,15 MILIONI,KITONGA.

Hapa ni MSONGOLA.

Njoo WAHI UJIOKOTEE.
Hapa Chumba kimoja ambacho ni Masta,
Na Sebule.
Pia kuna Fremo moja ya Duka.

Weka Duka lako,
Na Utaishi kwako hapohapo.
Au hupendi Weka Wapangaji chukua Kodi.
Hutakosa kitu.

Huduma za Umeme na Maji zipo.

______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

_____________mskv

Matangazo yanayofanana Msongola, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbondole Msongola, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 29,500,000

  • Karibu na Barabara

  • Karibu na Stendi ya Mabasi

  • Chumba cha Msaidizi

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Msongola, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

  • Parking Space

  • Paving Blocks

  • Uzio

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Msongola, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

  • Gypsum

  • Maji

  • Paving Blocks