Nyumba ya vyumba 10 inauzwa Mbezi Mpiji Magoe, Dar Es Salaam (400 sqm)

video thumbnail
Sh. 80,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

10

Ukubwa

400 SQM

Huduma na Sifa

Uzio
Jiko
Sebule
Karibu na Barabara
Karibu na Kanisa

Maelezo

Nyumba za kibiashala au makazi zinauzwa

Nyumba zipo mbezi mpiji magoe

Nyumba ndani ya kiwanja kimoja na fensi moja zipo mbili na boycott tatu

Zote kwa pamoja zinauzwa

Nyumba kubwa Ina master Tano 5

Nyumba ndogo vyumba v2 sebule jiko public chumba master

Nje zipo boycott tatu ya kwanza Master na ya pili master na ya tatu chumba na sebule na choo Bado kuisha

Pia humo ndani angalia video vizuli Kuna mtumishi amepanga humo ndani anakanisa lake lipo ukiingi kushoto kwahiyo Kuna kiwanja kipo chenye ukubwa wa sqm 400

Vyote hivyo mmiliki anauza kwa pamoja

Kanisa anaondoka mwenyewe anauza eneo lake lote hizo nyumba kanisa

Bei mil 80

Eneo linaangalia mpiji magoe road

Hati mauziano selikali ya mtaa

Unaweza kugeuza lodge au kuzipangisha na kiwanja ukajenga tena hicho

Karibu sana mteja