Tafuta

Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Sh. 1,800,000,000

Maelezo

🏑✨ NYUMBA YA KIFAHARI INAUZWA β€” INAFAA KWA FAMILIA YAKO! ✨🏑

Unatafuta nyumba kubwa, ya kisasa na yenye nafasi ya kutosha kwa familia yako? Hii ni fursa ya kipekee! πŸ”₯
πŸ“ Kiwanja: SQM 2,500
🏠 Nyumba Kuu: Vyumba 5 β€” vyote Master Bedroom πŸ›οΈβœ¨
πŸ›‹οΈ Sebule kubwa
🍽️ Dining kubwa
🍳 Jiko kubwa na lenye nafasi ya kutosha
🏠 Nyumba ya Pembeni:
πŸ›οΈ Vyumba 3
πŸ”₯ JUMLA: VYUMBA 8

Na bado kuna zaidi! 😍
πŸŠβ€β™‚οΈ Swimming Pool
πŸ€ Uwanja wa Basketball
🌳 Eneo kubwa na mazingira yanayofaa kwa familia na mapumziko.

πŸ’° BEI: TSH BILIONI 1.8
✨ Nyumba hii ni zaidi ya makazi β€” ni lifestyle ya kifahari kwa familia yako.
πŸ“ž Kwa maelezo zaidi na kuiona nyumba, wasiliana nasi.

SITE VISIT 50,000
Contact

DALALI VIWANJA MAKONGO GOBA MBEZI BEACH 🏝️ MADALE NK

dalalimakongo1_peter

@dalalimakongo1_peter

View Listings

Matangazo mengine Mbezi, Dar Es Salaam

Nyumba inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (1450 sqm)

Sh. 600,000,000

For Sale1,450 sqmhouse
Nyumba inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (1450 sqm)

Sh. 600,000,000

For Sale1,450 sqmhouse
Nyumba inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Sh. 600,000,000

For Salehouse
DALALI VIWANJA MAKONGO GOBA MBEZI BEACH 🏝️ MADALE NK