Tafuta
-
-

Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Mtoni Kijichi, Dar Es Salaam (1027 sqm)

video thumbnail
Sh. 650,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

8

Ukubwa

1027 SQM

Huduma na Sifa

Maji
Umeme
Solar
Hati

Maelezo

NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA – MTONI KIJICHI, DAR ES SALAAM

Fursa nzuri ya uwekezaji au makazi katika eneo tulivu na linalokua kwa kasi.

Bei: TSh 650,000,000

Maelezo ya Mali:

• Ukubwa wa kiwanja: SQM 1,027
• Vyumba 8 vya kulala – vyote Master Bedroom
• Visima 2 vya maji (uhakika wa maji muda wote)
• Umeme upo
• Solar system ipo
• Eneo linafikika kwa urahisi na lina miundombinu mizuri

Nyumba hii inafaa kwa:
✔ Makazi ya familia kubwa
✔ Guest house au lodge
✔ Uwekezaji wa kupangisha

Hati na nyaraka zipo tayari kwa uhakiki.

Kwa mawasiliano zaidi au kupanga kuja kuiona:
Latifa Mbonde
Real Estate Consultant
📞 0715 919 296
#viral #tanzania #mustwatch#trending ##

Matangazo yanayofanana Mtoni, Temeke, Dar Es Salaam

Nyumba inauzwa Mtoni Stendi ya Shamba, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 50,000,000

Nyumba 2 kwa bei ya milioni 50 tu! 🔥 Zipo Mtoni stendi ya Shamba kwenye kiwanja kimoja – fursa adimu...

Nyumba inauzwa Mtoni Kijichi, Dar Es Salaam (2400 sqm)
  • 2400sqm
  • Residential

Sh. 1,300,000,000

GHOROFA INAUZWA MTONI KIJICHI DSM BEI BILIONI 1.3 MAONGEZI ENEO SQM 2400 HATI YA WIZARA ☎️0783027994

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mtoni Kijichi, Dar Es Salaam (900 sqm)
  • 900sqm
  • Residential

Sh. 60,000,000

BOMA LINAUZWA MTONI KIJICHI MILIONI 60 BOMA LINA VYUMBA VYAKULALA V4 SEBULE KUBWA JIKO DANND MASTER ...

Nyumba inauzwa Mtoni, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

🇹🇿 NYUMBA KWA AJILI YA BIASHARA INAUZWA MTONI KWA KISASI NJIA YA KUELEKEA BUBUBU KARIBU NA KAMBI YA ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mtoni Kijichi, Dar Es Salaam (600 sqm)
  • 600sqm
  • Residential

Sh. 250,000,000

MTONI KIJICHI USHUWANI NYUMBA INAUZWA BEI; MILIONI 250 SQM 600 VYUMBA 3-2 MASTER CHAP CALL 068349159...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mtoni Kijichi, Dar Es Salaam (600 sqm)
  • 600sqm
  • Residential

Sh. 170,000,000

NYUMBA NZURI INAUZWA MTONI KIJICHI MILIONI 170 NYUMBA YA VYUMBA VYAKULALA VITATU SEBULE JIKO DANND ...

Nyumba inauzwa Mtoni, Dar Es Salaam

Sh. 5,000,000,000

Land 4 sale...Note...industry plot (Area)Location mtoni kwa Azizi ali (Temeke )Looking at Tarmac🔥Off...

Nyumba inauzwa Mtoni, Dar Es Salaam

Sh. 650,000,000

*GHOROFA MTONI-KIJICHI INAUZWA BEI; MILIONI 650 SQM 1027 VYUMBA 8 VYOTE MASTER VISIMA 2 VYA MAJI SO...

Nyumba inauzwa Mtoni, Dar Es Salaam

Sh. 650,000,000

*BEACH HOUSE 2 FOR SALE IN MTONI KIJICHI*📍Mtoni Kijichi, Beach side❇️Description;✅It has got 8 bedro...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mtoni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

Nyumba inauzwa ipo mtoni kijichi sqm 1200 Hat saf ya wizara nyumba inatazama rami 4bedrooms ina f...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mtoni, Dar Es Salaam

Sh. 58,000,000

NYUMBA INAUZWA MTONI KIDATU (BASRA)#unguja #zanzibarUmbali kutoka Nyumba ilipo Mpaka Barabarani mita...

Nyumba inauzwa Mtoni, Dar Es Salaam

Sh. 650,000,000

*GHOROFA MTONI-KIJICHI INAUZWA BEI; MILIONI 650 SQM 1027 VYUMBA 8 VYOTE MASTER VISIMA 2 VYA MAJI SOL...

Tafuta unachotaka Mtoni, Temeke, Dar Es Salaam