Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

Aina

Nyumba

Vyumba

4

Maelezo

500,000 x6 KIMARA TEMBONI
NYUMBA ZIPO TATU KWENYE FENSI MOJA KILA NYUMBA IMEJITENGA UMBALI WA MITA TANO
=========
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI DK 10

Ipondani ya fence parking kubwa sana

-------boda boda 1000


Vyumba 4 kimoja masta
Seble kubwa sana
Jiko kubwa
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum

Service charge 20,000/
Kodi 500,000/=×6
--------
Nb
ITAKUWA WAZI TALEHE 12 /12/2025

Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 500,000

#0625606710