Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 250,000/month

Maelezo

Nyumba yangu hiyo nahitaji laki 250 kwa mwezi nafanya na marekebisho ipo kinyerezi mwisho boda 1000 hata kwa miguu unatembea vyumba vinne kimoja master na jiko na pia nje kuna jiko na vyoo pazuri sana maji dawasa na marekebisho ukitaka kuhamia Hakuna udalali
0782438858

Matangazo mengine Kinyerezi, Dar Es Salaam

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000/month

For Rent1 bed1 bathapartment