Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Tegeta Wazo, Dar Es Salaam

Wazo, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 1,200,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
#Repost @dalali_mkuu_ubungo_tabata
——
Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta Wazo kwa Makamba
Ina Vyumba vinne vya kulala, kimoja ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni Million 1 Laki 2
Gharama ya kuona
30,000
Wasiliana nami
0712500602
0755336565















