Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Tegeta Wazo Msigani, Dar Es Salaam









Wazo, Dar Es Salaam
12 hours ago
Sh. 600,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta Wazo Msigani
Ina Vyumba vinne vya kulala, kimoja ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni laki (600,000)
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744
0784334971















