Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibugumo, Dar Es Salaam (700 sqm)


Aina
Nyumba
Vyumba
4
Ukubwa
700 SQM
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Maelezo
KIBUGUMO 🔥🏡
💎 FURSA NZURI YA KUMILIKI BOMA KATIKA ENEO ZURI!
Boma linauzwa Kigamboni – Kibugumo likiwa katika eneo zuri, tulivu na lenye mazingira mazuri. Boma lipo kwenye hatua ya finishing ya kupaua, hivyo mnunuzi ana nafasi ya kulimalizia kwa mtindo anaoupenda.
✨ SIFA ZA BOMA:
✅ Vyumba 4
✅ Chumba 2 Master
✅ Sebule
✅ Dining
✅ Jiko
🏗️ Lipo kwenye hatua ya finishing ya kupaua
📐 Ukubwa wa Kiwanja: SQM 700
📄 Nyaraka: Hati ya Serikali ya Mtaa
📍 UMBALI:
🚗 Kilomita 1 kutoka barabara
⛴️ Kilomita 7 kutoka Ferry
🌉 Kilomita 8 kutoka Kigamboni Darajani
💰 BEI: TZS MILIONI 75
🤝 Mazungumzo kidogo yapo.
🔥 FURSA YA KIPEKEE:
Unapata boma lenye vyumba 4 kwenye kiwanja cha SQM 700, kisha unalimalizia kwa design na finishing unayoipenda.
📞
📍Service charge 30,000
#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio















