Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara Bucha, Dar Es Salaam (603 sqm)







Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
1 month ago
Sh. 100,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
4
Bafu
2
Ukubwa
603 SQM
Huduma na Sifa
Parking Space
Dining
Jiko
Makabati ya Jiko
Stoo
Public Toilet
Maelezo
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAUZWA MILIONI 100 MAONGEZI YAPO MAZURI TUU NDUGU MTEJA
💥NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA VIKUBWA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#STORE
PUBLIC TOILET
CAR PARKING (GARAGE KUBWA YA KUPAKI GARI)
KUNA MPANGAJI KWA SASA ANALIPA LAKI 4 KWA MWEZI
UKUBWA WA ENEO NI SQM 603
BEI NI MILIONI 100 MAONGEZI YAPO MAZURI TUU
DOCUMENT NI MAUZIANO YA HATI SAFI KUTOKA SERIKALI YA MTAA (URASIMISHAJI ULIFANYIKA)
🇹🇿NYUMBA HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU
Service charge 50,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :-
