Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kinondoni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 800,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

4

Maelezo

Nyumba Mbili Zinauzwa
Mahali: Kinondoni Center

Bei: Milioni 800 (Mazungumzo)

☑️Zinatizama Lami
☑️Ukubwa: Sqm350
☑️Sifa: Nyumba Ya 1: Vyumba 4 Vyote Master (Chini 2 Na Juu 2) Sebule, Dining, Jiko & Choo

Nyumba Ya 2: Vyumba 3 Vyote Master, Sebule Dining Jiko & Choo

Nje Kuna Fremu Mbili
☑️Umiliki: Hati Miliki Ya Wizara✅

Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate.

Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)

Call & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988, 0622651649, 0650659988

Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏

#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle