Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mjimwema / Makibugumo, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

Huduma na Sifa

Uzio
Karibu na Barabara ya Lami
Sebule
Jiko

Maelezo

#trendingvideo #istagram #realestateforsale #tanzania #trendingsongs 🏑 BOMA LINAUZWA – KIGAMBONI, MJIMWEMA / MAKIBUGUMO 🏑

Je, unatafuta nyumba ya kisasa katika eneo zuri na linalokua kwa kasi? Hii ndiyo fursa yako!

βœ… Vyumba 4, vyote Master Bedroom
βœ… Sebule kubwa na jiko la kisasa
βœ… Limezungushiwa fensi pande zote
βœ… Lina geti imara
βœ… Gari linafika hadi nyumbani
βœ… Umbali wa mita 300 kutoka barabara ya lami
βœ… Takribani km 7 kutoka Feri ya Kigamboni
βœ… Takribani km 4 kutoka Daraja la Mwalimu Nyerere
βœ… Mazingira tulivu, salama na yenye huduma muhimu karibu

πŸ’° Bei: TZS 65,000,000 (Milioni 65)

πŸ“ž Wasiliana nasi: 0769 554 221

Matangazo mengine Mjimwema, Dar Es Salaam