Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 3,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

5

Maelezo

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI

<> location tuangoma

<> nyumba ina vyumba vitano vyote master sebule dining na jiko pamoja na servant quarter

✅nyumba inajitegemea
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba ina electric ⚡️
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba mpya na safi

<> asking price tsh,, 3m per month
mwezi moja wa dalali kisiwani

<> services charge 30k zingatia utalatibu

◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837

Tafuta unachotaka Kigamboni, Kigamboni, Dar Es Salaam