Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Kigamboni, Kigamboni, Dar Es Salaam
4 months ago
Sh. 1,200,000
Aina
Nyumba
Vyumba
5
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location tuangoma
<> nyumba ina vyumba vitano kimoja master sebule dining jiko
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba ina electric ⚡️
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba ina mazingira safi
✅nyumba mpya na ya kisasa
<> asking price tsh,, 1.2ml per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> services charge 20k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano
✅0628505898
✅0763954837
