Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbezi Beach – Shopaz, Dar Es Salaam (900 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
5
Ukubwa
900 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
HOUSE FOR SALE – MBEZI BEACH (SHOPAZ)
Unatafuta nyumba ya kifahari kwa bei nzuri? Hii hapa nafasi adimu!
📍 Location: Mbezi Beach – Shopaz
📐 Ukubwa wa Kiwanja: SQM 900
💰 Bei: TZS Milioni 890 (maongezi yapo)
🏠 Maelezo ya Nyumba:
* Vyumba 5 vya kulala
* Nyumba ya gorofa
* Imejengwa kisasa na ina nafasi kubwa ya kutosha
📄 Hati: Ipo safi kabisa
✨ Faida Kubwa:
Kupata nyumba ya gorofa Mbezi Beach kwa bei hii ni bahati ya kipekee – usikose nafasi hii!
📞 Wasiliana sasa: 0692181138
⸻
#HouseForSale #MbeziBeach #DarEsSalaamHomes #NyumbaInauzwa #RealEstateTZ NyumbaZaKifahari Ghorofa PropertyForSale TanzaniaRealEstate DreamHomeTZ NyumbaBora InvestmentTZ Shopaz NyumbaMpya KaribuNyumbani















