Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Buza, Dar Es Salaam (700 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 400,000/month

Maelezo

Nyumba hizo za kisasa zinauzwa

zipo Buza kila nyumba inavyumba

vi3 vya kulala

siting room na daining room na kila

nyumba moja kodi

kwa mwezi ni sh.400,000.apo ilipo ina full

wapangaji ukubwa wa eneo lote ni sqm 700 mwenyewe

anauza bei ya kutupa kabisa yani sawa na bure ml.190Tsh

maongezi yapo kidogo Document aliekuwa nayo

ni Leseni ya Makazi kwa yule Tajiri muwekezaji njoo

uokote hizi nyumba uendelee kula kodi kazi nzuri sana

hii na imenyooka sana karibu sana ndugu mteja

0657659320

Dm

Matangazo mengine Buza, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Buza, Dar Es Salaam

Sh. 350,000/month

For Rent3 beds1 bathhouse
Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Buza, Dar Es Salaam

Sh. 500,000/month

For Rent2 beds2 bathshouse
Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Buza, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent2 beds2 bathshouse