Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Chanika, Dar Es Salaam

Chanika, Ilala, Dar Es Salaam
17 days ago
$ 350 per month
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Maelezo
Nyumba inapangishwa bei 350 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 nakuendelea. Nyumba IPO tariani kalibu na chanika, ina rooms 3 vyakulala sitting, dinning room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, store, mafeni juu panga boy, tiliz, madilisha vioo, paving blocks chini zpo, na fensi ya parking ipo pia. Ni stand alone house, umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hapo tariani stand hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika 3 ivi kwa kutembea kwa miguu. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.
