Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Geza, Kigamboni, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – STAND ALONE | KIGAMBONI GEZA
Kigamboni
Nyumba ya kisasa stand alone inapangishwa eneo la Geza, Kigamboni.
✨ Sifa za nyumba:
* Vyumba 3 vya kulala (vyote ni master)
* Sebule kubwa na ya kisasa
* Dining area
* Jiko lililokamilika
* Nyumba iko peke yake (stand alone)
* Parking kubwa ya magari
* Eneo tulivu na salama
💰 Bei: Tsh 700,000 kwa mwezi (laki saba)
📍 Geza, Kigamboni
📞 Call / WhatsApp: 0746407197















