Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
Goba, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 1,500,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
1
Barabara ya Karibu
2min
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
Inajitegemea ipo Goba njianne dk 2 za miguu kutoka lami ina vyumba vitatu kimoja masta sebule jiko diining stoo na public toilet ina hita ina AC vyumbani mote na sebuleni makabati ya jikoni na makabati vyumbani mote 1,500,000 kwa mwezi na deposit ya mwezi mmoja















