Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba Kwa Awadh, Dar Es Salaam







Aina
Nyumba
Vyumba
3
Barabara ya Karibu
2km — Goba Road
Huduma na Sifa
Maelezo
Stand Alone Kali sana inapangishwa GOBA KWA AWADH
Ina vyumba vitatu vya kulala na vyote ni Master bedrooms
Sebule kubwa sana kama uwanja wa mpira
Dining
Jiko zuri kubwa full makabati
Store ya jikoni
Public toilet
Parking kubwa sana
Balcony mbili ya mbele na nyuma
Umeme na maji unajitegemea na tank lipo la reserve
Ipo km 2 tu kutoka Goba Road
Service charge ni shilingi 20,000















