Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ilazo, Dodoma

Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA YA ROOM3 ZA KULALA KALI SANA
MAHALI - ILAZO📍
MALIPO - 600k
Muundo
-Nyumba ipo jirani sana na usafiri
-Full Fance..
-Sebule kubwa..
-Single bed room kubwa ...
-Master room kubwa sana..
-Jiko kubwa & ßtore
-Nyumba ni Usalama
Huduma
-Maji yanatoka mda wote🚰
-Umeme unajitegemea🔋
-Electrical Fance inawekwa
-Barabara inafikika🛣️
☎️Contact Whtsap + Calls full time - 0685700555
________________
__________















