Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Barabara ya Karibu
1.5km
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule dinning jiko na public toilet
Bei 600,000 kwa mwezi × 6
NB: Pembeni kuna single master ina mpangaji kama utahitaji kuishi mwenyewe kwenye fence mpangaji atatoka kodi itakuwa 700,000 kwa mwezi
Umbali km 1.5 barabara lami
Site visit 20,000/=
0753454167
0679447338















