Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba Hospital, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
1
Barabara ya Karibu
800m — Morogoro Road
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
STAND ALONE HYO KALI SANA INAPANGISHWA,
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA, VIWILI MASTER,JIKO KUBWA SANA,SEBULE ,DINNING NA PUBLIC TOILET,
PIA KWA NYUMA KUNA BOYCOTTER YA CHUMBA CHOO.
HIPO KIBAMBA HOSPITAL,
UMBALI NI METRE 800 TU KUTOKA MOROGORO ROAD.
INATAKA 500,000 ×6.
note:nje ni full having, alluminium ndani ya fence na inaface bara bara ya mtaa.
Picha za nje ni kwa matumizi ya kiofis tu😃
Call
0684561351















