Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kibanda cha Mkaa, Dar Es Salaam









Kimara Kibanda cha Mkaa, Dar es Salaam
2 days ago
Sh. 350,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
1
Barabara ya Karibu
1.2km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
350,000/= Miezi 6
Kwa hiyo Bei Unaiachaje?
✔️ Vyumba Vitatu(2) 1-Master
✔️Sebule Kubwa
✔️ Store
✔️Jiko
✔️ Public toilet
Maji na Umeme unajitegemea
KIBANDA CHA MKAA 1.2Km
kupelekwa kuona nyumba hii elfu 25
0614 22 23 24
piga cm uctume sms utachelewa kujibiwa boss
ndugu mteja kua makini usilipie nyumba kiholela matapeli wamekua wengi cku izi
ikiwezekana fanya malipo kwa mjumbe au selikali ya mtaa
DALALI MTU MUHIMU DALALI AESHIMIWE





