Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam









Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Maelezo
🇹🇿 VYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA (STAND ALONE) INAPANGISHWA – KIMARA KOROGWE.
📍 Kimara korogwe
🕘 1km umbali kutoka stand ya mwendo kasi usafili bajaji 500 ukishuka unapiga mlango teka barabara nzuri inafikika kwa gari zote chini na juu.
SIFA ZA NYUMBA.
🔹 Vyumba Vitatu vya kulala kimoja Master
🔹 Sebule kubwa
🔹 Jiko
🔹 Dining
🔹 Public Toilet ya ndani nzuri.
🔹 Full A/C & Heater maji moto /baridi
🔹 Umeme & maji (vinajitegemea)
🔹 Maji yanapatikana ndani masaa 24/7hrs.
🔹 Fenced car parking kubwa sana
👉Hii nyumba kubwa inajitegemea kwenye fensi yenyewe itakuwa imekamilika tarehe 25/09/2026 kuona na kufanya malipo luksa.
GHARAMA
🔸 Kodi: Tsh 1,000,000/= × 6 (Miezi Sita)
🔸 Malipo ya Dalali: Gerad Tsh 1,000,000/=
🔸 Service Charge: Tsh 20,000/=
Call/WhatsApp..0766547700















