Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 300,000/month

Maelezo

Vyumba v3 sebule dinning store jiko na choo cha public ndan

Nyumba ipo ndan ya fanc inajitegemea kila kitu

Kod 300000 x6 wahi

Nyumba ipo kimara mwisho km1.5 tuu

Usafili bajaji daradara noa boda uhakika muda wote

NB nyumba hii gali inaishia nyumba ya jilan

Galama za kupelekwa kuona 15k ukilipia utatoa mwez kwa dalali
SIMU
0712656027

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam