Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam









Maelezo
Stend ALONE KUBWA SANA YAKIBABE INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER
Nyumba ya kifahali sana
Nyumba inavyumba 3 vikubwa sana jiko lakisasa sana
Nyumba hii inapangishwa milioni moja kwa mwez kod x6 njoo ukae sehem nzuri ya kishua sana kwenda kuona 20000
Piga cm 0715949085















