Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Mbezi, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 2,000,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Inayojitegemea
(Stand Alone) Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach(Karibu na Smart Kitchen) ,
Dar-Es-Salaam, Tanzania🇹🇿
Ina :
🔸️ Vyumba Vitatu Vya Kulala ( Kimoja Masta)( vina #makabati)
🔸️ Sebule
🔸️ Dining
🔸️ Jiko la Kisasa lenye Makabati
🔸️ Choo Cha Public
◇ Ni nyumba ya tatu kutoka lami
Kodi : 2,000,000 Tsh Kwa Mwezi
Inafaa kwa Kuishi au Ofisi















