Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mwanza

Mwanza
15 hours ago
Sh. 350,000/month
Maelezo
Inapangishwa 🔥
✍️ Vyumba vitatu sebule na jiko
✍️ Chumba kimoja master
✍️ Sebule
✍️ Jiko
✍️ Heater
✍️ Fenced
✍️ Kodi 350k kwa mwezi
✍️ Malipo miezi 6
☎️ 0684154198















