Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Buhongwa, Mwanza

Buhongwa, Mwanza
1 hour ago
Sh. 35,500,000

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

Nyumba bado ni mpya kabisaaa..
Inauzwa milioni 35.5 tu! Pesa faster
Nyumba ipo buhongwa jijini Mwanza
Mita Mia tu! Kutoka lami
Nyumba kubwa inavyumba vitatu pamoja na chumba kimoja upande wa nje..
Maelezo zaidi nenda whatsapp number 0763296711
@ourdalali_real_estate_limited

Matangazo mengine Buhongwa, Mwanza