Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chanika Mwisho, Dar Es Salaam

Chanika, Dar Es Salaam
2 months ago
Sh. 57,000,000
Maelezo
INAUZWA NYUMBA –CHANIKA MWISHO MIL 57
Inauzwa nyumba yenye vyumba 3 (Master), sebule, jiko na bafu, ipo chanika mwisho center, mazingira mazuri na salama.
Bei: Milioni 57
Mawasiliano: 0754908045 ::: 0696 451 566















