Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 295,000,000

Maelezo

✨Nyumba nzuri sana na kubwa ipo karibu na lami inauzwa Ina vyumba vitatu vikubwa kimoja ni masterbedroom, sebule kubwa, dinning , stoo kubwa na jiko lakisasa Lina makabati mazuri sana full Ac & heater

✨Ina matenk ya maji, Cctvs cameras, mlinzi na parking kubwa

✨Documents: Ina hati miliki

✨Ukubwa wa Eneo sqmt 400

✨Location: Goba -njia ya mbez beach massana(Dakika moja tu kwa Mguu kutoka lami)

✨Bei million 295 (maongezi yapo)

🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall

🙏🏽kwa mawasiliano zaidi tupigie:O719969102

Matangazo mengine Goba, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam (700 sqm)

Sh. 170,000,000

For Sale3 beds700 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 295,000,000

For Sale3 beds400 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba Center, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 495,000,000

For Sale4 beds3 baths800 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba Center, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 495,000,000

For Sale4 beds3 baths800 sqmhouse
Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Goba Center, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Sh. 1,800,000,000

For Sale8 beds2,500 sqmhouse
Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Goba Center, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Sh. 1,800,000,000

For Sale8 beds2,500 sqmhouse