Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam

Goba, Ubungo, Dar Es Salaam
2 months ago
Sh. 70,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Maelezo
Nyumba ya kumalizia inauzwa ipo goba mtaa wa tegeta A
Inavyumba vitatu vya kulala kimoja master, seble, dinning, jiko na toilet public
Eneo square meters 400
Kutoka goba njia nne ni km mbili
Kutoka njia ya tegeta A inayowekwa lami ni mita 400
Bei milioni 70 maongezi yapo
Piga 0719190753 au 0759197277
