Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba njia ya makongo, Dar Es Salaam (500 sqm)

Makongo, Kinondoni, Dar Es Salaam
5 days ago
Sh. 400,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
500 SQM
Huduma na Sifa
Hati
Air Conditioning
Jiko
Makabati ya Jiko
Chumba cha Msaidizi
Sebule
Maelezo
✨Nyumba nzuri sana mpya inauzwa Ina vyumba vitatu vyote ni masterbedrooms vina makabati yanguo , sebule kubwa, dinning na jiko lakisasa Lina makabati mazuri sana full Ac & heater
✨Ina boycotta kubwa ya mfanyakazi au wageni
✨Documents: Ina hati miliki
✨Ukubwa sqmt 500
✨Location: Goba njia ya makongo
✨Bei million 400
🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall
🙏🏽kwa mawasiliano zaidi tupigie:0695511662
