Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha Kwa Mathias, Pwani

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Barabara ya Karibu
30m — Msangani
Huduma na Sifa
Maelezo
⏭️ NYUMBA INAUZWA MILLION 80
#KIBAHA_KWA_MATHIAS
NYUMBA IPO NDAN YA FENS NA INA GARDEN NZURI ZA MAUA IPO FULL PEVING BLOCK NA KUNA MABANDA YA KUFUGIA KUKU, MBWA
⏭️ NYUMA INA VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM, SEBULE KUBWA YENYE DINNING ROOM, JIKO NA PUBLIC TOILET
NYUMBA IPO NDAN YA FENS NA USALAMA UPO VIZURI TUU
NYUMBA IPO UMBAL WA MITA 30 KUTOKA BARABARA YA LAMI YA MSANGANI
HAT YA UMILIKI DOCUMENT ZA SERIKALI YA MTAA, NYUMBA HAINA MADEN WALA MIGOGORO
KWA MAWASILIANO ZAIDI
☎️ O719969102















