Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibugumo Mjimwema, Dar Es Salaam (50 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
50 SQM
Barabara ya Karibu
100m
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA NZURI INAUZWA KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO MILION 170M NYUMBA YA VYUMBA VYAKULALA VITATU SEBULE KUBWA JIKO DANND MASTER BEDROOM KIWANJA SQMT 50 UMBALI MITA 💯 KUTOKA BARA BARA KUU YA LAMI MTAA WAKISHUA SANA TAJIRI MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA NJOO TUMALIZE BIASHARA CALL 0683491594,0716974073 KWAMAELEZO ZAIDI PIGA















