Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam (800 sqm)
Maelezo
🏖️🔥 BEACH HOUSE YA KIFAHARI INAUZWA KIGAMBONI 🏡🌊
Nyumba mpya kabisa, nzuri na ya kisasa yenye kila kitu unachohitaji kwa makazi ya kifahari! 😍🔥
✨ Sifa za nyumba:
• 🛏️ Vyumba 3 vya kulala — vyote Master
• 🛋️ Sebule + Dining
• 🍳 Jiko lenye makabati
• 🚿 Makabati ndani ya vyumba
• ❄️ Full AC
• 🪟 Aluminium
• 🧱 Tiles za kisasa
• ✨ Gypsum ceiling
• 👨🍳 Servant Quarter
• 🍽️ Jiko la nje
• 💧 Tanki la maji
• 📦 Store
• 🚗 Parking shed
• 🏡 Nyumba mpya sana
📐 Ukubwa wa eneo: SQM 800
📜 Limepimwa na lina Hati ya Wizara ya Ardhi
💰 BEI: TSH 380,000,000/= TU 🔥🔥
🤝 Mazungumzo yapo
📞
💵 Service charge: TZS 30,000
📲 Instagram: @dalali_kigamboni_plots_forsale
#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidaressalaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment BeachHouse Kigamboni NyumbaInauzwa LuxuryHouse RealEstateTanzania















