Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Gizozirolole, Dar Es Salaam (850 sqm)

video thumbnail
Sh. 185,000,000

Maelezo

NYUMBA KUBWA INAUZWA – KIGAMBONI GIZOZIROLOLE πŸ”₯

πŸ“ Eneo lipo Kigamboni Gizozirolole karibu kabisa na ofisi za Manispaa ya Kigamboni – Makao Makuu ya Kigamboni, Dar es Salaam.

✨ Sifa za nyumba:
πŸ›οΈ Vyumba 3 vya kulala
πŸ›‹οΈ Sebule kubwa
🍽️ Dining
🍳 Jiko
🏠 Servant quarter yenye chumba, sebule na jiko

πŸ“ Ukubwa wa kiwanja: Square Meter 850
πŸ“„ Kiwanja kimepimwa na kina Hati ya Wizara
🧱 Kimezungushiwa fence tayari
🌴 Mtaa mzuri na mazingira ya kishua

πŸ“ Umbali muhimu:
⛴️ Kilomita 12 mpaka Ferry
πŸŒ‰ Kilomita 11 mpaka Darajani
πŸ›£οΈ Kilomita 1 tu mpaka barabara ya lami

βœ… Eneo linafaa sana kwa wanaofanya kazi Posta, Kariakoo, Bandari, Makumbusho na maeneo ya katikati ya jiji kutokana na usafiri kuwa rahisi na wa haraka.

πŸ’° Bei: Milioni 185 tu
🀝 Bei ni negotiable kwa mnunuzi serious

πŸš— Service charge ya site visit: TZS 30,000

πŸ“ž Call/WhatsApp: +255746407197
πŸ“² Wahi sasa kupanga muda wa kwenda kukagua nyumba hii nzuri sana.

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment dalalidaressalaam kigamboni dar_es_salaam nyumbainauzwa fyp viral

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Dar Es Salaam

Nyumba inauzwa Kibada Kigamboni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 350,000,000

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Geza, Kigamboni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 610,000,000

  • Parking Space

  • Umeme

  • Chumba cha Msaidizi

Nyumba inauzwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam (1100 sqm)

Sh. 850,000,000

  • Air Conditioning

  • Parking Space

  • fenced

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kisota Kigamboni, Dar Es Salaam (700 sqm)

Sh. 175,000,000

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara

  • Stoo

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Mji Mwema Kibugumo, Dar Es Salaam

Sh. 210,000,000

  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara ya Lami