Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Mji Mwema Kibugumo, Dar Es Salaam (800 sqm)
Kigamboni, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 75,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Pagale zuri la Kisasa Ndani ya Fensi Linauzwa milioni 75 Maongezi yapo sana 📍 KIGAMBONI MJI MWEMA KIBUGUMO Dar es salaam - Tanzania
▫Vyumba Vitatu vya Kulala Vyumba viwili ni self Conteinard
Master Bedroom
▫Sitting room
▫Dining room
◇ Kitchen
▫ Public toilet and Bathroom
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 800
◇document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
◇ Maji safi yapo umeme upo karibu kabisa CALL , KWAMAELEZO ZAIDI PIGA CM















