Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara Suka, Dar Es Salaam (400 sqm)

video thumbnail
Sh. 65,000,000

Maelezo

๐Ÿก NYUMBA INAUZWA โ€“ KIMARA SUKA ๐Ÿก

Nyumba nzuri inauzwa Kimara Suka, ipo takribani dakika 2 tu kutoka lami (bodaboda 1,000). Inatazama barabara ya mtaa, hivyo ni rahisi kufikika.

๐Ÿ”น Ina vyumba 3 (kimoja master)
๐Ÿ”น Sebule + Dining
๐Ÿ”น Jiko
๐Ÿ”น Choo cha public

๐Ÿ”ธ Nje kuna boy quarter yenye chumba na sebule

๐Ÿ“ Ukubwa wa eneo: Sqm 400
๐Ÿ“„ Hati: Sales Agreement (Serikali za Mtaa)

๐Ÿ’ฐ Bei: Milioni 65 (mazungumzo yapo kidogo)
๐Ÿ’ต Service charge: 30,000/=

๐Ÿ‘‰ Nyumba iko sehemu nzuri kwa makazi au uwekezaji โ€“ unaweza kumalizia finishing chache ukaanza kupangisha na kupata kipato cha uhakika.

๐Ÿ“ž Wasiliana sasa: 0688 412 890

Matangazo yanayofanana Kimara, Dar Es Salaam