Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kisesa Bujora, Mwanza


Kisesa, Mwanza
5 hours ago
Sh. 18,500,000
Maelezo
🔹BEI ml 18.5 Sm 0763406453
Ipo Mwanza Kisesa - Bujora
Ina Vyumba v3, kimoja ni self & sebule
Gypsum board kote✅
Chumba cha self kina Vigae tayari
Kiwanja kina hatua 25/30
Choo tayar
Bei ml 18.5 tu piga cm chap
Kama unahitaji Kuuza ama Kununua, Nyumba Boma au Kiwanja au Shamba ndani ya Mwanza. Tutafte kwa namba zetu tukupe unachohitaji
📞0763406453





