Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kishiri Center (600 sqm)








Kishiri, Mwanza
23 hours ago
Sh. 52,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA INAUZWA KISHIRI CENTER
-ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko na public toilet
-ukubwa wa kiwanja ni 30x20 ( pamepimwa )
-umeme tayari, maji yapo jirani
-bei Milioni 52 ( maongezi yapo )
-nyumba imekamilika tayari kuhamia
☎️ 0743 220097











