Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kishua, Kigamboni, Dar Es Salaam (600 sqm)

video thumbnail
Sh. 130,000,000

Maelezo

🏡 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI, KISARAWE II

Nyumba nzuri na ya kisasa inauzwa ipo eneo tulivu la Kishua, Kigamboni.

🔹 Maelezo ya Nyumba:

* Vyumba 3 (2 Master)
* Sebule kubwa na sehemu ya dining
* Jiko la kisasa

🔹 Ukubwa wa Eneo:

* SQM 600

🔹 Hati:

* Hati halali ya Wizara

🔹 Sifa Muhimu:

* Kisima cha maji matamu
* Full AC (vyumba vyote vina viyoyozi)
* Maegesho yenye paving nzuri
* CCTV Camera (ulinzi wa uhakika)
* Garden nzuri na ya kuvutia
* Ipo kwenye mtaa wa kishua (location nzuri na tulivu)

💰 Bei: Milioni 130 (Mazungumzo yapo)

📞0769554221
#trendingvideos #istagram #tanzania🇹🇿 #realestateforsale #trendingnow

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni Mikadi Beach, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 680,000,000

For Sale5 beds5 baths1,200 sqmhouse
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni Mikadi Beach, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 680,000,000

For Sale5 beds5 baths1,200 sqmhouse
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam (1400 sqm)

Sh. 1,200,000,000

For Sale8 beds1,400 sqmhouse
  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba inauzwa Kibada Kigamboni, Dar Es Salaam (760 sqm)

Sh. 180,000,000

For Sale760 sqmhouse
  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Gezaulole, Kigamboni, Dar Es Salaam (700 sqm)

Sh. 270,000,000

For Sale3 beds700 sqmhouse
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibada, Kigamboni, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 125,000,000

For Sale3 beds600 sqmhouse
  • Tiles

  • Gypsum

  • Sliding Windows

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Mjimwema Kibugumo, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 180,000,000

For Sale3 beds500 sqmhouse
  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Mjimwema Kibugumo, Dar Es Salaam (450 sqm)

Sh. 170,000,000

For Sale3 beds450 sqmhouse
  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Kigamboni Mikwambe, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 35,000,000

For Sale6 beds3 baths400 sqmhouse
  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Ardhi Iliyopimwa

Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Kigamboni Mikwambe, Dar Es Salaam (300 sqm)

Sh. 35,000,000

For Sale6 beds1 bath300 sqmhouse
  • Public Toilet

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Mwongozo, Dar Es Salaam (450 sqm)

Sh. 95,000,000

For Sale3 beds450 sqmhouse
  • Maji

  • Umeme

  • Kisima

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Mwongozo, Dar Es Salaam (450 sqm)

Sh. 95,000,000

For Sale3 beds450 sqmhouse
  • Maji

  • Umeme

  • Kisima

Nyumba (Furnished) ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 280,000,000

For Sale4 beds1,000 sqmFurnishedhouse
  • Hati

  • Maji

  • Parking Space