Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kivule, Dar Es Salaam (650 sqm)

Kivule, Ilala, Dar Es Salaam
3 days ago
Sh. 65,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
650 SQM
Huduma na Sifa
Umeme
Maji
Maelezo
NYUMBA MPYA 6A KISASA,TSHS.65 MILIONI,KIVULE FREMU KUMI.
Hapa ni Jirani na NJIA NNE.
Au maarufu KWA-JOHN FEDHA.
Kowanja kina ukubwa wa SQM. 650.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba nzuri na Safi YAKUHAMIA.
Ina vyumba vya kulala 3 ( Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Inafikika kwa urahisi na Huduma muhimu za
Umeme na Maji zipo.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________mskv
