Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale Msumi, Dar Es Salaam (400 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
400 SQM
Maelezo
Inauzwa ipo madale msumi ina vyumba vitatu kimoja masta sebule jiko na public toilet kiwanja sqm 400 ni sehemu nzuri kanisa milioni 30 maongezi yapo 0714539608















