Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 70,000,000

Maelezo

NYUMBA MPYA,VYUMBA 3,TZS.70 MILIONI,MBAGALA-CHAMAZI.

Hapa ni SAKU-ILULU.

Nyumba nzuri mno.
Vyumba 3 vya kulala(Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani

Pia nyumba hii ina Banda la Uani zuri lenye vyumba 2.
Vilevile kuna Fremu/Maduka 3.

Umeme upo,
Maji yapo,
Parking ipo.
Sasa Mungu akupe nini na Bei ndio hiyo Rafikiii.

WAHI TUWAHI.

_________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

__________________rK

Matangazo yanayofanana Chamazi, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chamazi Kanisani, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Sebule

  • Dining

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

  • Parking Space

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Dining