Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 47,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Maelezo

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi manispaa ya temeke dar es salaam

Bei milioni 47,000,000/= milioni

0759128747 0624436503

nyumba ya vyumba 3vya Kulala masters bedroom stingiroom kitchen toilet Public nyumba umeme upo Maji yapo bei ml 47

Wote mnakaribishwa