Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Beach Makonde, Dar Es Salaam (750 sqm)


Mbezi, Dar Es Salaam
10 days ago
Sh. 120,000,000
Maelezo
Nyumba Inauzwa,
Ipo Mbezi beach Makonde
Ukubwa wa Kiwanja sqm 750.
Bei Millioni 120
Ina Vyumba 3 vya Kulala, Kimoja ni Master,Sebule, Dining, Kitchen.
Nyumba ina HATI
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
0784234971
Service Charge 20,000















