Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Msumi, Dar Es Salaam (800 sqm)

Maelezo
NYUMBA KUBWA VYUMBA 3,TZS.75 MILIONI, MBEZI MSUMI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.800.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni nyumba yenye nafasi.
Vyumba vya kulala 3 (Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani
Maboreahi ni madogo tu.
Wahi hii Bei rafiki na Thamani zaidi ya Pesa.
_________________
ANGALIZO;
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_________________mpg















